• Breaking News

    saudi tv

    Aljazeera Live

    Quran

    Friday, May 19, 2017

    #Kinde Makengeza aja kivingine !

    unnamed
    Msanii wa bongo flevar Kinde Makengeza anatarajia kuibuka na video mpya ya wimbo wake unao kwenda kwa jina la kidogokidogo
    Pamoja na hayo Kinde amedai kua  atafanya vizuri zaidi katika nyimbo hiyo husaa kwa upande wa video
    Amesema kua Director anaemtumia amemuhidi atatoa Kazi zake vizuri kuliko Kazi zake ambazo alizo kua akizifanywa kipindi cha nyuma
    Ameyasema hayo akizngumza na Z4news Media Group visiwani Unguja
    Kwa upande mwengine msanii huyo amewataka wasanii wa Zanzibar kuachana majungu na chuki kwani vitu hivyo vitawapelekea kutopanada katika masoko ya kimatiafa kimziki

    No comments:

    Post a Comment

    Fashion

    Beauty

    Travel